near
near
1 adv 1 karibu he lives ~ me anaishi karibu nami. as ~ karibu as ~ as I can remember kama ninavyoweza kukumbuka. ~ at hand karibu, si siku nyingi it is ~ on/upon ni karibu it lasted ~ a century imedumu karibu karne moja. 2 bado he was ~ dead with fright alikaribia kufa kwa woga. 3 karibu na be nowhere ~ something -wa mbali na kitu. nearby karibu na, siyo mbali.near
2 adj 1 -a karibu, (kwa jamaa) -wa jamaa ya those ~ and dear wale wapenzi na ndugu. 2 -a upande (wa gari ulio karibu na ukingo wa barabara) wa kushoto/kulia. 3 -sio mbali. a ~ thing/escape n kunusurika, kuponea chupuchupu. ~ miss n bomu linalolipuka karibu. 4 (miserly) -a choyo, bahili, -nyimivu. vt,vi karibia, sogea, jongea be ~ing completion karibia kumalizika. nearness n. (prep) karibu na she lives ~ the bank anaishi karibu na benki. nearly adv karibu, karibukaribu. pretty ~ adv takriban. not ~ly mbali na it is ~ly one o' clock inakaribia saa saba.