navigate

vt,vi ongoza chombo majini/angani, safiri baharini; (fig) ~ a Bill through Parliament shawishi Wabunge kupitisha mswada. navigable adj 1 (of rivers, seas etc.) -a kupitika kwa chombo. 2 (of ships etc.) -a kuweza kusafiri majini/ angani. navigability n. navigation n 1 uongozaji vyombo majini/angani hazard to navigation hatari kwa usafiri (wa baharini/angani). 2 usafiri wa majini/angani. navigator n 1 nahodha. 2 baharia. 3 mwongoza njia.