nautch

n nachi: maonyesho ya ngoma ya wasichana wa kihindi. ~ girl n mcheza nachi/ngoma wa kike.