nature
n 1 (world) ulimwengu, viumbe vyote laws of ~ utaratibu wa jambo la asili, kawaida ya vitu vyote. ~ study n elimu mimea/ viumbe. ~ worship n kuabudu nguvu za asili; (natural appearance) umbo, sura. call of ~ n haja let ~ take its course acha mambo yatokee kama kawaida yake. 2 asili, nguvu asili. ~cure n matibabu asilia. pay the debt of/pay one's debt to ~ kufa. in the course of ~ katika hali ya asili ya maisha it's in the ~ of things ni tabia zisizoepukika. be in state of ~ wa katika hali ya asili; (joc) uchi. 3 (habit) desturi; mazoea; hulka proud by ~ -enye desturi ya kujivuna a woman with a kind ~ mwanamke mwenye desturi njema a man's second ~ tabia nzuri/ mbaya ya mtu it's in my ~ ni tabia yangu. by ~ kwa kawaida. human ~ n utu (dhidi ya unyama). good ~ n ukarimu. good-/ill ~d adj enye tabia njema/mbaya. 4 (kind) jinsi, namna, aina anything of that ~ chochote cha namna hii. 5 kama, namna ya a request in the ~ of a command ombi la namna ya amri.