natural

adj 1 -a asili, -a kawaida she has a ~ ability in languages ana kipaji cha lugha ~ disaster maafa ya asilia ~ forces/phenomena matukio asilia. ~ gas n gesi asilia. ~ history n botania na zoolojia, elimuviumbe. ~ justice n adili ya maumbile, idili. ~ law n sheria/kanuni asilia. ~ philosophy n (old use) sayansi agh. fizikia. ~ religion n dini asilia (ya akili ya binadamu sio ya ufunuo). ~ resources n maliasili. ~ science n sayansi asilia (bayolojia,kemia na fizikia). ~ selection n uchaguzi asilia (namna wanyama na mimea inavyoweza kulinganisha maisha yao na mazingira). 2 (of abilities etc) -a maumbile he's ~ orator ana kipaji cha usemaji. 3 -a kawaida die a ~ death -fa tu kwa kawaida as is ~ kama ilivyo kawaida running comes ~ to him kukimbia ni kawaida kwake ~ note (music) noti/sauti ya kawaida. 4 halisi speak in a ~ voice tumia sauti halisi. 5 (inevitable) pasipo budi, sharti ~ result (consequence, effect) tokeo la faradhi. 6 (arch) haramu. ~ child n mwanaharamu. n 1 a ~ for something inayofaa/stahili he's a ~ to win the race bila shaka atashinda mbio. 2 (old use) punguani. 3 (music) alama ya kuashiria sauti ya kawaida. naturalism n 1 tanakala/uasili. 2 (philosophy) falsafa asili (kueleza asili ya maumbile kwa historia ya viumbe). naturalist n mwanaviumbe, mtaalam achunguzaye mimea, wanyama, wadudu. naturalize vt,vi 1 andikisha uraia. ~ized citizen n raia wa kuandikishwa. 2 (of words) tohoa. 3 zoelea (tabia za nchi nyingine), zoelea (ugenini) naturalization n kuandikisha uraia. ~ization papers n cheti cha uraia. naturally adv 1 kwa asili. 2 kwa urahisi, kwa desturi, kwa kawaida. 3 (neccesarily) bila shaka, wazi. 4 bila kujidai.