native

n 1 mzaliwa, mwenyeji. 2 (of animals, plants) asili ya the black mamba is a ~ of Africa songwe ni nyoka wa asili ya Afrika adj 1 ~ land n nchi ya watu/kwao ~ law and customs sheria ya mila/kienyeji. 2 (inborn, natural, original) -a maumbile, hulka. ~ intelligence n akili ya kuzaliwa. 3 ~ to (of plants, animals) -a asili ya. the lion is ~ to Africa simba ni wa asili ya Afrika. 4 (of metal) halisi. nativity n uzaliwa; siku ya kuzaliwa. the Nativity n Kuzaliwa kwa Yesu Kristo. a Nativity Play n tamthilia ya kuzaliwa kwa Yesu.