nation
n taifa law of ~s sheria ya mataifa. ~-wide adj -a taifa zima. national adj -a taifa, -a watu wote (wa taifa fulani). N~al Anthem n wimbo wa taifa. N~al Assembly n Bunge. the N~al Debt n Deni la Taifa. ~al monument n kumbu-kumbu ya taifa. ~al park n mbuga/eneo la burudani (la taifa). ~ al service n kipindi cha kujenga taifa; jeshi la kujenga taifa. ~al n mtu wa taifa fulani; raia; mwananchi. (pl) nationals wananchi. nationality n. nationalism n 1 utaifa; uzalendo. 2 kupigania uhuru. nationalist n 1 mfuasi wa utaifa; mzalendo. 2 mpigania uhuru. ~ alistic adj -a uzalendo/kizalendo. nationality n uraia. nationalize vt,vi 1 taifisha. 2 andikisha uraia. 3 geuza/fanya taifa. nationalization n.