narrow

adj 1 -embamba.2 dogo,chache; -a shida living in ~ circumstances ishi maisha ya shida. 3 chupuchupu, nusura. a ~ escape n kuponea chupuchupu. a ~ squeak n (colloq) nusura. 4 halisi, hasa. 5 finyu. narrow-minded adj -lio na mawazo finyu. narrow-mindedly adv. ~ mindedness n. vt,vi -wa/fanya kuwa embamba ~ something down fanya kuwa chache. narrowly adv 1 kidogo tu, kwa shida he ~ly escaped failing kidogo tu ashindwe 2. kwa uangalifu watch his movement ~ly angalia mwenendo wake kwa uangalifu. narrows n mkono wa bahari/mto.narrowness n.