naphtha

n nafta: mafuta mepesi yanayowaka. naphthalene n naftalini: dawa yenye harufu kali inayotumika kufukuza wadudu (mende, nondo n.k.).