nap
nap
1 n usingizi kidogo have a ~ lala kidogo. vi lala kidogo. catch somebody ~ping kuta usingizini; fuma, shtusha, shtukiza.nap
2 n manyoya (nywele) mafupi ya nguo (zulia). vt (kwa nguo) tia/tengeneza manyoya mafupi nguoni.nap
3 n see napoleon2.