namby-pamby

adj (of persons, talk) -enye hisia za kijingajinga. n mtu mwenye hisia za kijingajinga, asiye na msimamo.