nail

n 1 ukucha. fight tooth and ~ pigana kufa na kupona. ~-brush n brashi ya kucha; ~-file n tupa ya kusugua kucha. ~-scissors n mkasi wa kucha. ~-polish/varnish n rangi ya kucha. 2 msumari. as hard as ~s -enye afya na nguvu kabisa; -sio na huruma, katili. hit the ~ on the head patia hasa, gonga. right as ~s kweli kabisa. (right) on the ~ mara (moja). vt 1 kongomea, pigilia misumari. ~ a lie (to the counter) thibitisha/onyesha kuwa kauli fulani ni uongo. ~ somebody down (to something) fanya/bana mtu aseme alichodhamiria. ~ something down gongomea, shikiza. ~ something up gongomea, fungia/shikizia (dirisha mlango) misumari. 2 vutia, teka (mtu), kamata.