myth

n 1 kisasili: hadithi inayoeleza asili ya watu, matukio n.k.. 2 (fiction) uwongo. 3 mtu/jambo lililobuniwa. mythical adj -a visasili, -a uwongo, -a kubuniwa. mythology n 1 mithiolojia: elimu ya visasili. 2 visasili. mythologist n mwanafunzi wa mithiolojia. mythological adj -a mithiolojia, -a visasili, -a kubuniwa.