mystery

n 1 fumbo, mwujiza. 2 siri; usirisiri. 3 matambiko. ~ play n tamthilia juu ya maisha ya Yesu. mystic adj -a siri, -sioelezeka; -a fumbo; -a maana/nguvu ya roho. n mchaji (mtu ajaribuye kumshiriki Mungu kwa kujitoa na kutafakari sana habari za Mungu). mystical; mystic adj. mysterious adj -a fumbo, -sioelezwa; -a kiujiza/ajabu. mysteriously adv. mysticism n imani/mafundisho ya kumfikia Mungu kwa tafkira. mystify vt fumba; tatanisha, tatiza, changanya.