muzzle

n 1 pua na mdomo wa wanyama (uliochongoka kama wa mbwa, mbweha, n.k.). 2 (to prevent biting) kifungo cha mdomo. 3 (rifle) mdomo, kitundu (cha kasiba, mtutu). ~ velosity n mwendo wa risasi inapoacha mtutu. vt fungia mdomo, tilia kifungo cha mdomo (wa mbwa n.k.); (fig) zuia (mtu, jamii, vyombo vya habari n.k.) kutoa habari; nyamazisha vyombo vya habari.