mutual

adj -a wote wawili, -a wenyewe; -a pande mbili ~ affection upendano ~ agreement maafikano, mapatano ~ help kusaidiana; (in cultivating, building) ujima ~ friend rafiki wa wote wawili. ~ insurance company n bima ya ubia ~ wills wasia za kuhusiana. mutually adv.