mustard

n 1 mharadali. 2 haradali. ~ gas n sumu ya mvuke (iliyotumika katika vita kuu ya kwanza). ~ plaster n plasta ya haradali. as keen as ~ hodari, epesi sana. grain of ~ seed kitu kidogo kinachoweza kukua na kuwa kikubwa sana.