1aux v 1 havina budi; sharti, lazima you ~ go sharti uende he ~ be honest yampasa kuwa mwaminifu ~ you shout! kwani mpaka upige kelele! 2 hakika it ~ be Mary hakika ni Mary. n(colloq) jambo la lazima (la kuona au kusikia) that film is a ~ ni lazima uone filamu hiyo.