musk

n 1 maski: tezi ya kulungu itumikayo katika utengenezaji wa manukato. ~deer n kulungu asiye na pembe. ~ rat n panya wa majini. 2 mimea yenye harufu ya maski. ~ melon n tikiti. ~ rose n waridi lenye kunukia vizuri sana. musky adj -enye harufu ya maski.