n muziki (attrib)~ lesson/ ~teacher somo/mwalimu wa muziki. face the ~ kabili matatizo/ wahakiki/shutuma kijasiri. set/put something to ~ tunga/tia sauti (ya muziki). ~ boxn kisanduku cha muziki. ~-halln (GB) ukumbi wa maonyesho. ~-standn dawati la kuimbishia. ~ stooln kigoda cha mpiga kinanda. musicaladj -a muziki, -enye kipaji cha muziki; -a kupenda muziki. ~-chairsn mchezo wa viti na muziki. ~ comedyn 1 komedi yenye muziki. 2 sinema yenye muziki. musicallyadv. musiciann mwanamuziki. musicianshipn ustadi wa muziki.