museum

n (jumba la) makumbusho. a ~ piece n kifaa/kitu kinachofaa kuhifadhiwa makumbusho; (fig) kitu/mtu aliyepitwa na wakati.