murder

vt 1 ua (kwa kusudi). 2 haribu, vunja. n 1 kuua (kwa kudhamiria); mauaji yasiyo na sababu. 2 (colloq) mateso, jambo gumu kabisa. cry blue ~ (colloq) piga mayowe/makelele sana. M~ will out (prov) mambo hayafichiki. murderer n mwuaji. murderess n mwuaji wa kike. murderous adj 1 -a kiuaji. 2 katili. murderously adv.