munition

n (usu pl, in combination) zana za vita, vifaa vya vita (hasa mizinga, makombora) there was no shortage of ~s hatukupungukiwa na silaha, tulikuwa na silaha tele. vt -pa silaha. ~ factory n kiwanda cha zana za vita/silaha.