multi-
(pref) -enye -ingi. ~ coloured adj -enye rangi nyingi. ~cellular adj -enye seli nyingi. ~ farious adj -a namna nyingi; -ingi tena mbalimbali. ~ form adj -enye maumbo mengi, -a namna nyingi. ~lateral adj -enye wahusika wengi ~lateral trade biashara kati ya nchi tatu au zaidi. ~ millionaire n tajiri sana (mtu mwenye kiasi cha milioni kadhaa za fedha). ~ national adj -a kimataifa; -a zaidi ya mataifa mawili. n kampuni ya kimataifa. ~party adj -a vyama vingi.