mug

mug

1 n 1 magi. 2 (sl) uso, mdomo.

mug

2 n (sl) mpumbavu a ~'s game kitu ambacho hakiwezi kuleta faida.

mug

3 vt (colloq) vamia mtu na kumwibia; iba kwa nguvu. mugger n mvamizi, jambazi. mugging n uvamizi.

mug

4 vi (sl) ~ something up soma sana (kwa ajili ya mtihani). n mtu asomaye sana.