muffle

muffle

1 vt 1 ~ (up) funika kwa nguo (hasa shingo na kichwa). 2 punguza kelele kwa kufunika (ngoma, kengele) kwa nguo. muffler n 1 kitambaa cha shingoni. 2 (US) see silencer n.

muffle

2 n mdomo wa juu (wa mnyama k.v. panya).