mud

n tope ~ hut kibanda cha udongo ~ wall ukuta wa udongo. fling/ sling/throw ~ at paka mtu tope, haribia mtu jina. ~-bath n kuoga tope za madini (dawa ya yabisi); kuoga matopeni. ~ flat n upwa tope. ~ slinger n mchafua jina/sifa. mudguard n madigadi. vt tia tope, tibua; chafua, vuruga. muddy adj 1 -enye tope. 2 -a giza, -sio safi, -lio chafuka; (fig) -liokanganyikiwa.