mow

vt 1 fyeka/kata majani, nyasi. ~ down fyeka. mower n mashine ya kukatia majani. n rundo la majani ya ng'ombe; banda la majani.