move

vt,vi. hama; sogeza; hamisha. ~ heaven and earth fanya kila liwezekanalo. 2 ~ (house) hamishia (vyombo, samani) kwenye nyumba nyingine. ~ out hama. ~ in hamia. 3 ~ on sogea, enda mbele (kwa shuruti). ~ somebody on shurutisha mtu kwenda mbele/ kusogea. ~ along/down/up endelea mbele. 4 (excite) sisimua, gusa hisi. 5 (advice) toa pendekezo/hoja ~ the court omba mahakama (kufanya jambo fulani). 6 sukuma/tuma Salome's appeal ~ed (us) to come ombi la Salome lilitusukuma/vuta kuja. 7 ~ for omba rasmi. 8 endelea. 9 chukua hatua. 10 ishi, jinasibisha. 11 nya. 12 (in compounds) ~ away ondoka. ~ forward sogea mbele. movable adj 1 -a kusogezeka. 2 (varying) -a kubadilika n (pl) mali inayosogezeka/ hamishika (k.v. samani n.k.); mali binafsi. n 1 mwendo. 2 (turn) zamu (katika mchezo). 3 (action) tendo, jambo (katika kazi). 4 on the ~ kusonga mbele; kuhamahama. get a ~ on! (sl) fanya haraka. make a ~ hamia mahali pengine; anza kufanya/ kutenda. 5 uhamisho. movement n 1 mwendo, mwondoko; mabadiliko; tendo/kitendo. 2 mzunguko. 3 (progress) maendeleo; kubadili/ kuhama mahala. 4 (of mus composition) sehemu ya mtungo. 5 (commerce) kupanda na kushuka bei. 6 kunya. 7 (of group) tapo. mover n mtoaji hoja/pendekezo. the prime ~r n mtu anayehusika hasa katika kuanzisha jambo; muasisi.