mourn

vt,vi ~ (for/over) huzunika; omboleza; lilia huzunikia. mourner n mwombolezaji. mournful adj -enye huzuni/majonzi. mournfully adj kwa majonzi, kwa huzuni. mourning n 1 huzuni, majonzi, kilio, msiba. 2 go into/be in ~ing anza kwenda eda/kuvaa nguo za kufiwa (nyeusi)/msiba. ~ing band n utepe wa msiba. ~ing-ring n pete ya ukumbusho wa marehemu.