mountain

n mlima. ~ chain/range n safu ya/msururu wa milima. ~ pass n ujia mwembamba mlimani. ~sickness n hali ya ukosefu wa oksijeni kwenye milima mirefu. ~ dew n wiski ya kiskoti. mountaineer n 1 mkaa mlimani. 2 mpanda mlima. mountaineering n kupanda milima. mountainous adj -enye milima; kubwa sana. mount n mlima, kilima.