mount

vi,vt 1 panda, kwea ~ the pulpit panda mimbari ~ a horse panda farasi. ~ the throne tawazwa, kuwa mfalme. 2 (of blood) sisimka his colour ~ed alikuwa mwekundu (kwa hasira). 3 ~ (up) zidi; ongezeka. 4 onyesha mchezo jukwaani. 5 weka mahali pake; angika/tundika (picha); wekea fremu. 6 (mil uses) fanya. ~ a guard (at over) linda ~ an offensive fanya shambulio; (of large animals) panda (jike). n 1 (of a picture) kiunzi. 2 farasi. 3 baiskeli.