mould/mold

mould/mold

1 n udongo wa mboji, udongo mweusi mzuri.

mould/mold

2 n 1 kalibu. 2 (pattern) kielezo. 3 tabia. be cast in the same ~ -wa na tabia zinazofanana be cast in heroic ~ -wa na tabia ya kishujaa. vt ~ something (in/from/out of) 1 (in clay) finyanga, umba. 2 (in metal) subu kwa kalibu. 3 (character) ongoza; nyoosha. ~ing n 1 kusubu, kuumba. 2 (of wood) nakshi, mchoro.