motor
n 1 mota. ~-cycle; ~ bike n pikipiki ~ boat motaboti. ~ car n motokaa. ~ cade n msafara wa motokaa, pikipiki n.k.. ~ coach n basi la kitalii. motorway n baraste kuu, barabara ya motokaa ziendazo kasi. ~ man n dereva wa garimoshi. 2 musuli wa mwendo. ~ nerve n neva mwendo adj 1 -a mwendo. 2 -a musuli. vt,vi enda kwa motokaa. motorize vt,vi tayarisha magari/ motokaa/pikipiki kwa uchukuzi; patia magari. ~-vehicle n motokaa.