mother

n 1 mama (mzazi, mlezi wa kike); (term of respectful reference) mama. 2 kiini, chanzo. necessity is the ~ of invention (prov) shida hufunza. 3 kiongozi wa jumuiya ya watawa (wa kike). M~ Superior n Mama Mkuu. 4 the ~ country n nchi ya kuzaliwa. ~-of pearl n lulumizi. ~ in law n mama mkwe. motherliness n umama. ~ tongue n lugha mama, ya kwanza. ~ wit n 1 akili ya kuzaliwa. ~ ship n meli inayopatia meli nyingine vifaa ~ 's day sikukuu ya mama. 2 asili, chanzo. ~ hood n umama. ~ less adj -siokuwa na mama. ~ like adj kama mama. motherly adj. vt tunza/lea kama mama.