most

adj -ingi kupita -ote; -ingi sana. at most si zaidi ya. at the very ~sanasana, sio zaidi ya. for the ~ part kwa kawaida; kwa jumla in ~cases mara nyingi ~ people karibu watu wote. make the ~ of tumia kila nafasi, tumia vizuri sana adv 1 kupita/kuliko yote ~ faithful mwaminifu kuliko wote. 2 hasa, zaidi what pleased you ~? ni kitu gani kilikufurahisha hasa zaidi? 3 kabisa, sana ~ certainly kabisa. 4 (dial and US colloq) karibu ~ everyone enjoys football karibu kila mtu anafurahia mpira. mostly adv kwa kawaida; hasa; karibu yote.