moss

n kuvumwani. ~ grown adj -liofunikwa kwa kuvumwani. mossy adj -liofunikwa kwa kuvumwani. a rolling stone gathers no ~ (prov) mtu asiyetulia mahali pamoja hawezi kufanikiwa.