mortal

adj 1 -enye kufa all human beings are ~ binadamu wote hufa. 2 -a kufisha; -liosababisha kifo. ~sin n dhambi ya mauti. 3 -a kudumu hadi kifo. ~ enemies n uadui unaodumu hadi kufa/kifo. ~ combat n mapambano baina ya watu wawili (hadi mmoja kufa). 4 (colloq) sana, kubwa/ndefu sana. n binadamu. mortally adv 1 kwa kufisha. 2 sana, mno. mortality n 1 hali ya kuweza kufa, mauti. 2 vifo. ~ity rate n kiwango cha vifo. 3 idadi ya vifo there was a high ~ ity watu wengi walikuwa wanakufa. ~ity tables n (insurance) jedwali za makadirio ya uhai.