moral

adj 1 -adilifu, -nyofu. 2 -ema, adili. 3 (having moral sense, free will) -enye hiari/akili ya kuchagua mema au mabaya, -enye utashi. 4 -enye kuonyesha haki. a ~ certainty n jambo linaloelekea kuwa kweli ~ law kanuni ya mema na mabaya a matter of ~ obligation wajibu, lipasalo he gained ~ victory alishindwa, lakini akashinda uungwana/utu. ~ courage/ cowardice n moyo wa kuthubutu/ kutothubutu. give somebody ~ support saidia kwa kuunga mkono mawazo yake. n 1 (of story etc) fundisho. 2 (pl) maadili he has no ~s mtu huyu si mwadilifu, hana murua offensive to the ~s of the community -a kukiuka maadili ya jamii. morally adv. ~ist n mwadilifu; mwalimu wa maadili. moralistic adj (often derog) -enye kuhubiri. morality n 1 uadilifu, murua; maadili. 2 (character) tabia. 3 ~ity (play) n mchezo/tamthiliya ya maadili. moralize vt,vi 1 fafanua/elezea wema au ubaya. 2 ~ (about/on/upon) adilisha. 3 (often derog) hubiri. morale n moyo, imani, nguvu,hamasa.