1n 1 the ~ mwezi full ~ mwezi mpevu new ~ mwezi mchanga. once in a blue ~(colloq) mara chache tu. cry for the ~ taka sana kitu kisichowezekana. promise somebody the ~ toa ahadi nyingi. 2 (compounds)moonbeamn mbalamwezi, mwali wa mwanga wa mwezi. moon-calfn 1 dubwana. 2 mpumbavu. ~-facen uso mviringo. moonlightn mbalamwezi. vi fanya kazi nyingine na kulipwa (wakati umeajiriwa kwingine). ~light night usiku wa mbalamwezi. a/no ~ -a/sio mbalamwezi. moonlitadj -liomulikwa na mwezi. ~ shinen mwanga wa mwezi; upuuzi; (sl US) gongo. 3 (poet) mwezi. moonlessadj bila mbalamwezi; usiku wa giza. moonstonen kito rangi ya buluu yenye kijani kibichi. moonstruckadj -enye wazimu.