monument

n 1 (memorial) jengo/ mnara/sanamu ya ukumbusho, kumbukumbu. 2 kazi ya mfano bora (istahiliyo kukumbukwa). monumental adj -kubwa sana; -a sifa za daima; -a ukumbusho ~al ignorance ujinga mkubwa mno ~al mason mwashi wa mawekaburi.