monster

n 1 jitu la kutisha, dubwana. 2 (unnatural) jinamizi. 3 (brutalperson) mtu mkali; katili. 4 (giant) pandikizi. monstrous adj 1 -kubwa mno, -a ajabu. 2 (terrifying) -a kuogofya, -a kuchukiza. 3 pumbavu, baya sana. monstrosity n dubwana; udubwana, kitisho; kioja. monstrously adv.