monotonous

adj -siobadilika; -a kukinaisha, kinaishi. monotony n ukinaifu, kutobadilika mwenendo; uchovu (ubaridi, uchoshi) (kwa kutobadilika mambo). monotonously adv.