monogamy

n ndoa ya mke/mume mmoja. monogamist n mtu mwenye mke/mume mmoja. monogamous adj -a ndoa moja. ~ marriage n ndoa ya mke/mume mmoja.