monitor
n 1 msimamizi; (school) kiranja. 2 (radio) msikilizaji na mtoaji habari za kituo cha nje. 3 (warship) manowari ndogo. 4 chombo cha kujaribia usafirishaji wa matangazo ya redio/TV; chombo cha kufuatilia urukaji wa makombora, n.k. vt,vi fuatia, simamia; (radio) sikiliza kituo cha nje.