money

n fedha (sarafu, noti) inayotumika katika kuuza na kununua. be coining/minting ~ tajirika harakaharaka. be in the ~ (sl) tajirika. make ~ chuma fedha. (pay) ~ down lipa fedha taslimu. put ~ into something wekeza. ready ~ n fedha taslimu. monetary adj -a mambo ya fedha, -a fedha. monetary policy n sera ya fedha. monetize vt 1 toa fedha zianze kutumika nchini. 2 panga thamani ya sarafu; utajiri. marry ~ oana na tajiri. get one's ~'s worth faidi; pata kitu cha thamani ya fedha alizotoa mtu. ~ makes the mare go fedha ni motisha ya mambo. pl monies n raslimali, fedha, mali. (compounds) ~ bags n sl tajiri, kizito. money-box n sanduku la fedha. ~ changer n mvunja fedha. money-lender n mkopesha fedha, mkopeshaji fedha. ~-order n hawala ya fedha. ~ spinner n (colloq) kitabu, mchezo, mradi wenye kumimina hela. moneyed adj -enye mali the ~ed interest mabepari. moneyless adj fukara.