monarch

n 1 mfalme; (fig) mtawala mkuu. 2 (biol) kipepeo mkubwa (wa rangi nyeusi na ya machungwa). ~ic; ~al adj. monarchism n mfumo wa ufalme. monarchist n mfuasi wa ufalme. monarchy n ufalme.