moment

n 1 kitambo kidogo, muda mfupi sana, kufumba na kufumbua; wakati at that ~ wakati ule ule go this ~ nenda sasa hivi for the ~ kwa sasa. not for a ~ hata kidogo, kamwe! 2 the ~ (used as conj) mara. 3 (importance) maana, thamani. man of the ~ mtu mwenye sifa za siku hizi. of great/ small/little/no ~ -enye maana kubwa/ndogo/n.k. sasa. momentary adj -a mara moja, -a kupita upesi sana; -a kuweza kutokea wakati wowote be in ~ ary expectation of something tumaini kuwa jambo laweza kutokea wakati wowote (hivi karibuni). ~ arily adv. momentous adj -a maana sana. momentously adv. momentousness n.