modest

adj 1 -siojivuna. 2 -a wastani, -a kadiri. 3 -a staha. modesty n staha; wastani with due ~y pamoja na adabu zipasazo in all ~y bila kujivuna.