modern

adj 1 -a kisasa. 2 -a siku hizi;-pya. n mtu (mwandishi n.k.) wa kisasa. modernism n 1 usasa; zama hizi. 2 (rel) kufuata mambo ya kisasa badala ya desturi za kale. modernist n mtu wa kisasa. modernistic adj. modernity n kuwa wa kisasa, usasa. modernize vt fanya kuwa -a kisasa, geuza upya. modernization n.